Saturday, October 25, 2008

Kiswahilikila mtu habari!

mimi ninafurahi sana kwa sababu naweza kutengeza lugha zangu hapa. Mimi nilisikiza kwamba naweza kutana na watu wengi ambao toka mahali pengi kwa hivyo natumaini kwamba nitatana na mtu ambaye anaweza kusema kiswahilli vizuri sana. Nafurahi sana kuba mwanachama mmoja hapa. Sawa, kwanza nataka kuzumgumza kuhusu mimi mwenyewe.Mimi nina umri miaka ishrini na saba. Jina langu ni Moses lakini unaweza kuniita panya.Hili ni jina la utani langu tu. Kama unaweza kuelewa kicina, labda unajua kwa nini jina la utani langu ni panya. natoka Merekani na naishii katika jimbo la Ohio mji wa Columbus. Nimeoa, lakini sinawajunia bado. Mimi ni mwanafunzi na najifunza lugha ya kicina katika chuo kikuu cha Ohio pia. Sijawahi kusafiri mashariki ya africa bado, lakini nataka kwenda sana. Kwa sababu, nilisikiza kwamba mashariki ya africa ni mahali ambapo pazuri sana. Haya, sasa natakiwa kuondoke. Natumaini kwamba nitaona watu ambao wanaweza kufahamu lugha ya kiswahilli. Kila mtu, nimefurahi kukutana nyinyi. Tutaonana tena mungu akipenda~

5 comments:

Debi said...

Jambo!

I'm glad I found your blog. You make me want to go back and brush up on my Kiswahili and IsiZulu. I took 2 years of Kiswahili about 15 years ago, and have been listening to Zulu music for about 20 (Johnny Clegg). People here think I'm weird. A middle aged white woman learning an African language without plans to go there. (and the problem is?) :)

Asante sana!

Moses said...

Hey, thanks for viewing my blog. That's interesting that you've been interested in those languages. Nothing's wrong with learning those languages even if you're Caucasian.A lot of people are just jealous because they don't have the motivation to learn a foreign language. You should start studying it again. I often put up lessons. Perhaps they could be very useful for you. Well, take care and I look forward to talking to you again.

Tutaonana tena mungu akipenda.

ronp said...

Hujambo Moses! Habari za jioni?

Sasa mimi pia ninajifunza Kiswahili ya nyumbani. Ninapenda kujifunza Kiswahili (and other languages as well)!Prof. Arguelles (polyglottery forum on 'How To Learn Any Language') referred to your blog, so that's how I found you.

Here some online Kiswahili audio goodies (took me a while to find those - great to put on your iPod):

Audio (and some text) to Kiswahili kwa kitendo:
http://langmedia.fivecolleges.edu/swahili/audio_zawawi/zawawi.html

Audio to Hinnebusch & Mirza: Kiswahili: Msingi wa Kusema, Kusoma, na Kuandika (2nd edition) 1998:
http://imp.lss.wisc.edu/lss/mediacat/sh/1/010/

And check out:
http://www.fll.pdx.edu/html/languages/swahili/links.php

http://www.africa.uga.edu/Kiswahili/doe/index.html

Enjoy and remember: Anajifunzaye haachi kujua!


Ron (ronp on How To Learn Any Language - another 'serial language learner')

musigny said...

Moses, you're the man, a constant source of inspiration.

I had a question on your journal writing. Do you just write those for yourself? Do you have them corrected?

I started chatting on sharetalk but to be honest, i'd like to find some chats with just natives in it. I speak French and Japanese pretty fluently so I can hang with natives.

Always like to hear what you have to say.

Best,
Eric

laoshu505000 said...

Most of the ones here aren't corrected.

As far as natives, you should be able to find natives on sharedtalk. I see them there all the time. You could also use yahoo as another source for finding Japanese to chat with. I will search for some other places where you could meet Japanese natives. I understand what you mean about wanting to talk to the natives. That's the best thing. Talk to you soon.

Moses McCormick